CCTV chumba cha housegirl

Nawapenda Cheaters kule USA wanavyofanya mambo yao,nliwahi tumia trick yao Moja ikawork vizuri kweli!

Nawapenda Cheaters kule USA wanavyofanya mambo yao,nliwahi tumia trick yao Moja ikawork vizuri kweli!
Kumbe na wewe unakijua hicho kipindi eeh? Kuna wakati mimi nilikuwaga addicted nacho sana aisee.

KWELI KUTOA HABARI HIZI KWENYE MITANDAO KIBIASHARA SIO VIZURI. LAKINI HICHO ALICHOKIFANYA HUYO MAMA NI UKATILI DHIDI YA UHURU WA BINADAMU NI UFILAUNI KABISA. YAWEZEKANA ANAPENDA KUMWONA AKIWA MTUPU AU ANA MPANGO WA KUTENGENEZA BIASHARA YA KUUZA CD ZA NGONO. KAMA NI HOFU KUWA HOUSE GIRL ANAMCHUKULIA MUME WAKE, SIO RAHISI SANA.

Reactions: EMT
what is the purpose of marriage? nipe jibu then nitaolewa.then uniambie niolewe na nani na nitamtoa wapi hapo utapata ubwabwa

Safi sana kumbe bado upo upo, hata mimi nipo nipo tunaweza kumechisha?

Hakuna privacy yoyote iliyoharibiwa hapa. Hajatajwa mtu, mtaa, tarehe, jina la kampuni wala chochote cha ku-implicate mtu. isitoshe mdaku yeyote anaweza kutunga story kama hii na kubandika hapa. kwa hiyo hatujadili mtu, tunajadili kilichotendeka.

LAKINI KWA BIASHARA ZAKO UMEHARIBU. KWA SABABU KAMA KUNA MTEJA MWINGINE ALIKUWA ANA MPANGO WA KUWEKA CCTV KWENYE CHUMBA CHA HOUSE GIRL, AKISOMA HAPA HATAFANYA. HIVYO UTAKOSA MAHELA.

Anatafuta ushahidi usio na shaka ili kumtia hatiani hg

Kumbe na wewe unakijua hicho kipindi eeh? Kuna wakati mimi nilikuwaga addicted nacho sana aisee.

timetable yake nlikuwa naijua vizuri,
ni reality show ya kipeeke maana fumanizi niza ukweli ,nliona scene moja za mashoga ilikuwa balaa.

Kumbe na wewe unakijua hicho kipindi eeh? Kuna wakati mimi nilikuwaga addicted nacho sana aisee.

Umewahi kuona episode ambayo alieenda kufumania alikuta anaenda kumfumania mtu na mkewe?!Kumbe yeye ndio mwizi...ila nilichopenda wanawake hawakugombana hata kidogo (kama ilivyozoeleka) ila walimchangia mwanaume!!

Umewahi kuona episode ambayo alieenda kufumania alikuta anaenda kumfumania mtu na mkewe?!Kumbe yeye ndio mwizi...ila nilichopenda wanawake hawakugombana hata kidogo (kama ilivyozoeleka) ila walimchangia mwanaume!!

Teh teh teh duuh! Hao wanawake chiboko aisee.

Sasa kuna moja hiyo niliiona ambapo jamaa alienda kumfumania mwanamke wake. Alipofika walipokuwa akaanza kuzidunda na yule mwizi wake. Kwa bahati mbaya jamaa (aliyekuwa anaibiwa) akadundwa bana.

Aisee nilimuonea huruma. Yaani mwanamke wako anakuchiti...as if that's not enough...yule anayechiti naye anakudunda vilevile. That double whammy sucks like nothing other.

Ndiyo maana mimi siku zote nasemaga ni kamwe kwangu mimi kumpigania mwanamke (au kwa wadada kumpigania mwanaume). Ya nini yote hayo? Kama mtu kakuchiti amua moja tu. Sepa ama baki na usamehe. Mambo ya kupigana pigana haya unalipigania lijitu ambalo usikute hata halikupendi na mbaya zaidi unadundwa...teh teh teh....how worse can it get?

may beana ogopa au kuibiwa coz ma house girl hawa aminiki..

Sheria inasemaje juu y HG kupigwa picha bila ridhaa yake kwani kuna mda atakuwa anabadili nguo hivyo ataonekana akiwa naked.nina wasiwasi na huyo mama
This is breach of privacy!..pia ungemuuliza yeye imekaaje!!
Hiyo sio njema kumfanyia binadam mwenzio hivyo
Huyo housegirl akimpata mwanasheria mzuri na kumwelezea haki zake za msingi na kumshtaki huyo mama atapata compensation ya kutosha kabisa na kuachana na huo u housegirl. This will be a completely violation of her privacy unless huyo mama amwambie in advance. Halafu nyie mnaofunga hizo CCTV hamna guidelines au mnaweka pesa mbele tuu?

Kama huyo mama anataka aweke CCTV kwenye chumba cha housegirl, kisheria inambidi aweke notice kubwa mlangani kuwa the room is being monitored by CCTV 24 hours, ili kila mtu atakayetaka kuingia kwenye hicho chumba ajue in advance. In fact nyie wafunga CCTV mna wajibu wa kisheria kuweka hizo notice popote pale mnapofunga CCTV. Otherwise, you will be joined as a co-defendant. Bahati bongo hatufuati sheria. Lakini kama unataka kujua legal implications za kufunga hizo CCTV bila kumtaarifu housegirl, ungeiweka hii thread kwenye jukwaa la science and technology au la sheria.

Mkuu acha kutoa siri za wateja wako! sasa km mmewe yuko hapa si tiyari ameishainyaka na atabadilisha venue ya kuchapia hiyo housegirl! We unajiuliza kwa nini wakati uanijua kazi ya hiyo Chapa Chapa Tukudadavue Vyumbani(CCTV).Siku nyingine usitoe siri za wateja wako unajiharibia biashara!

Hana imani na mumewe huyo,maana mijanaume mingine haina haya wala haijui vibaya.

Huu unyanyasaji, mtoto wa watu hata haelewi maskini ataona kama amejaliwa vile

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…