A CCTV clip now circulating online has sparked fresh debate kuhusu chanzo cha moto uliosababisha maafa katika Utumishi Girls Academy. The footage, which has been widely shared on social media, allegedly shows a group of students moving around the dormitory area before the fire broke out.
Video hiyo imezua maswali mengi kutoka kwa wananchi, parents na stakeholders wa elimu kuhusu what exactly happened in the moments leading to the tragedy. While some online users claim the footage reveals those involved, authorities are still investigating and have not released a final report on responsibility.
As investigations continue, many Kenyans are calling for accountability, improved school safety measures, and justice for the victims and their families.
Wanafunzi wa kike wakiwa mabwenini wana mambo mengi sana… ugomvi makundi ndio kila kitu kuna shule walichukua used pad wakamuwekea mwenzao kwenye sahani ya msisi kisa alikua karibu na mwl wa kiume