Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sasa sijui utasema nini tena kuhusu wakenya ukishajua ya kuwa hao jamaa si wakenya, walikuwa waganda, mganga kutoka UG anafanya yake Mombasa! Neeext!Wakenya tangu mwaka 2005 nilipoanza kufanya kazi nao kwa ukaribu huko Zanzibar ndipo niliwatambua hawana tofauti na Wanaijeria kwa utapeli. Mimi sikuamini hata kidogo hilo tukio mara nilipoliona kwenye mitandao ya nchini Kenya
Wakenya tangu mwaka 2005 nilipoanza kufanya kazi nao kwa ukaribu huko Zanzibar ndipo niliwatambua hawana tofauti na Wanaijeria kwa utapeli. Mimi sikuamini hata kidogo hilo tukio mara nilipoliona kwenye mitandao ya nchini Kenya