Kama shida yako ni kuona vizuri,wa kulaumiwa ni mnunuaji. Camera zinatofautiana yaani hapo ukipata IP camera kuanzia 8 mega pixel unaona vizuri kabisa. Hapo mtu hajui kuhusu CCTV au budget yake ndogo hayo ndo matokeo yake.
NB: CCTV camera ni sawa na camera za simu kuwa zinatofautiana ubora kutokana na company na mega pixel
Wakati mwingine ni namna ulivyo seti picture quality kwa sababu ya kulinda mb inatakiwa camera zenye AI ili ziweze kujikomandi zenyewe wakati gani zichukue picha za quality ya hali ya juu