CD 4 Clinical Research

ngoshwe

JF-Expert Member
Joined
Mar 31, 2009
Posts
4,131
Reaction score
937
Hivi, tokea UKIMWI uanze ile miaka ya 80's. mpaka hii leo hakuna matokeo yanayoridhisha ya utafiti wa tiba au hili gonjwa au ndo lishakuwa la kiuchumi na kibiashara zaidi?

Kwa muda mrefu sasa, taarifa za utafiti wa kisayansi ambazo zinaendelea kutumia mabiliono ya fedha za umma zinaoekana kana kwamba hazina uhakika kamili na matokeo ya tafiti japo sehemu nyingine, wapo wataalamu wanaothibitisha kuwepo kwa dawa za kuponya kabisa au kurekebisha "masumbufu" ya kiafya ya ili gonjwa hatari kwa jamii.

 
Asante kwa kutishirikisha haya majibu zanayotoa mwanga katika utafiti wa maambukizi ya virusi, long term effect itakuwa more interesting
 

Duh!!sasa huu mmea upo bongo,side effects,local name ya Lingzhi , kama upo inabidi wizara ya afya uupromote via magazeti ya shigongo(yanasomwa na wengi) kama mronge ,aloevera ulivyokuwa promoted.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…