CD YA "X"

Mkuu acha ubishi, PC haijiwashi umeme ukirudi.
Siku moja weka video iplay kisha umeme ukate ghafla na ukirudi tulia uone kama video haitaendelea.

Nakusihi punguza mawazo na stress hili ni jukwaa la jokes.
Kama unaisoma namba vumilia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
Alafu mbaya zaidi uwe kwa shemeji yako(yaani alikoolewa dada ako), yani wao wametoka alafu wamekuacha nyumbani..na wanakupigia simu wanasema wako njiani wanarudi......
 
Siku moja weka video iplay kisha umeme ukate ghafla na ukirudi tulia uone kama video haitaendelea.

Nakusihi punguza mawazo na stress hili ni jukwaa la jokes.
Kama unaisoma namba vumilia tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa
 
Ila PC na Laptop zina sehemu yankuingiza pin ili uvute mlango na utoe CD.
 
PC haitoi CD kama haijawaka(umeme hauingii)

Acha ubishi. Kuna manual overide ni kitundu cha saizi ya office pin. Sometimes chuo tulikua tunatumia tip ya speedo pen.

Ila humu ni jokes wacha tucheke
 
Acha ubishi. Kuna manual overide ni kitundu cha saizi ya office pin. Sometimes chuo tulikua tunatumia tip ya speedo pen.

Ila humu ni jokes wacha tucheke
Hicho kitundu mpaka ukijue
Alafu katika story yangu hakuna sehemu nimesema jamaa aliweka CD
 
*Pale unapo weka CD ya X kwenye deki alafu ghafla umeme unakatika! hapo ndo pale unapo jikuta ukitembea na deki kwenye begi kama laptop [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]*
kuna jamaa alikuwa anachek hiyo mambo kwenye tv ya family (sitting room) umeme ulipokata akatoa tv na dek akahamishia room kwake... then akaanza kutafuta mtu anayetumia solar atoe cd.. usiombe yakukute
 
Halafu PC ina kitundu cha manual kufungulia mlango wa CD kwa pini

Wacha tucheke tu
kinafanya kazi wakati mashine ipo kwenye power na ile cd rom ikigoma kufunguka ndio unasukuma na pini kwenye kile kitundu
 
Hiyo pc ilizimika baada ya umeme kukatika na ikiwakaje pasipo kuwashwa.Maana jamaa alichomeka adapter tu so nashindwa kuelewa iliwezaje kuwaka yenyewe?Na haikuwa hibernated wala loged off...Any technical answer?
Mara nyingi ma pc yaliokufa battery huwa na tatizo la direct swtch on
Kama friji
 
m ilitokea nikaweka CD ya X nikijua n ya Sendoff mbele ya wageni, wenge full idea ilikua n simple tu, kuzima dek au tv, ila nakimbia mpk kweny main switch, kitu ambocho nikikumbuka mpk leo nabak hoi, mgen mmoja wakat wanaondoka akarud fasta akasema naomba ile CD
 
PC ikizima fasta mfano km huo wa umeme ukikata, ukirud ina resume pale pale ilipoishia, hio nime experience mara nying tuu, sijui kwa nyungne
 
Hicho kitundu mpaka ukijue
Alafu katika story yangu hakuna sehemu nimesema jamaa aliweka CD

Ni kweli mkuu. Tunanogesha mnakasha tu manaake majukwaa mengine ban nje nje bora huku stress free.

Cheers mzee wa "Pilau"...
 
Simple tu unachomao nyaya tu zinazoconnect deki na TV....
HV Haya mambo ya kuangalia porn kwenye TV bado hapo!;?
Kwani siku hizi watu wamekatika sehemu zao za siri???[emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…