Rabiel Senior Member Joined Jul 20, 2013 Posts 197 Reaction score 40 Jun 30, 2014 #1 Jaman wapendwa nisaidieni naskia kuna movie za kivita ukicheki ni sawa unakula pindi darasani,je nazpataje hizo
Jaman wapendwa nisaidieni naskia kuna movie za kivita ukicheki ni sawa unakula pindi darasani,je nazpataje hizo
MC RAS PAROKO JF-Expert Member Joined Feb 14, 2013 Posts 623 Reaction score 606 Jun 30, 2014 #2 Sijui upo maeneo gani ila kama ni moshi & arusha yupo mzee flani anatembezaga anaziita elimu kwa njia ya VIDEO. Anazo nyingi sana history/geography/English/french/mathematics na hadi kiswahili anazo
Sijui upo maeneo gani ila kama ni moshi & arusha yupo mzee flani anatembezaga anaziita elimu kwa njia ya VIDEO. Anazo nyingi sana history/geography/English/french/mathematics na hadi kiswahili anazo