Mamlaka iliyofeli kwa kila kitu hapa Dodoma,tangu 1973-2014...,I mean kwa miaka 41 imejitanua na kupanga hicho kimji kwa miaka hiyo yote kwa kilometa za mraba 16 tu?,kama kitu kimefeli kifutwe na uangaliwe ustaarabu mwingine kwa ustawi wa huu mji.karibuni wana Dodoma...