#COVID19 CDC: Mafua yanaua lakini yasifananishe na #coronavirus

#COVID19 CDC: Mafua yanaua lakini yasifananishe na #coronavirus

Analogia Malenga

JF-Expert Member
Joined
Feb 24, 2012
Posts
5,108
Reaction score
10,191
Centre For Disease Control and Prevention (CDC) wametoa sababu za kutofananisha mafua ya kawaida na #CoronaVirus ili kuweka sawa wanaopinga na kutaka shughuli za kiuchumi ziendelee kwa kuamini mafua ni sawa na #CoronaVirus

Wamesema, Mafua ya kawaida yanaweza kuambukiza wastani wa watu 1.28 wakati #CoronaVirus huambukiza watu 2 hadi 3. Mafua ya kawaida yana chanjo, #CoronaVirus haina chanjo

Tafiti zinaonyesha kati ya Oktoba 2019 hadi Aprili 2020 mafua yameua wastani wa watu 331 kwa siku. #COVID19 kuanzia Februari 6 hadi Aprli 30, imeua wastani wa watu 769 kwa siku huko Marekani

Mafua ya kawaida watu huugua siku moja hadi nne baada ya mtu kuambukizwa, na huchukua siku mbili kuonyesha dalili, Kinachoweza kuwafanya wakae nyumbani mara tu wakijisikia wagonjwa. #CoronaVirus huchukua siku 4 hadi 5 kuanza kujionyesha na ‘incubation’ huchukua hadi siku 14

Pia mafua yalikuwa yanaua watu weupe peke yao, kwa sasa yanaua hadi watu weusi

====
It's a popular argument heard at protests denouncing state shutdowns, fueled by those who say news outlets are overreacting to coronavirus:

The flu kills more people than coronavirus. Why shut down the economy for this?

Here are several reasons why coronavirus is more dangerous than the flu -- and why extra precautions are needed:

Coronavirus is much more contagious.

A person with the flu infects an average of about 1.28 other people. A person with novel coronavirus infects an average of about 2 to 3 other people.

Coronavirus has killed at a much faster rate.

Between October 2019 and early April 2020, the flu killed up to 331 people a day, according to the preliminary CDC numbers.

From February 6 through April 30, the coronavirus killed an average of more than 739 people per day in the US.

Coronavirus can be spread for many days without symptoms.

With the flu, people typically start feeling sick one to four days after infection, with symptoms often showing up within two days, the CDC says. That means people will know they're sick fairly soon and will likely stay home.

But with coronavirus, symptoms typically appear four or five days after exposure, and the incubation lasts up to 14 days.

You can get a flu vaccine but not a coronavirus vaccine.

Unlike the flu, there's no option to get a vaccine for the coronavirus to protect against infection or to reduce the severity of symptoms. At the earliest, it'll be months before a coronavirus vaccine might become publicly available.

CNN
 
Back
Top Bottom