#COVID19 CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

#COVID19 CDC: Pata chanjo ya COVID-19 iliyoidhinishwa katika eneo unaloishi

JamiiTalks

JF Advocacy Team
Joined
Aug 7, 2018
Posts
685
Reaction score
1,124
Kituo cha Kudhibiti Magonjwa nchini Marekani (CDC) kinasema Chanjo za #COVID19 zilizoidhinishwa kwa sasa ni salama na zenye ufanisi.

CDC inasema uamuzi muhimu zaidi kwa kila mtu ni kupata chanjo ya #COVID19 haraka iwezekanavyo kwani chanjo kuwafikia watu wengi ndiyo njia sahihi ya kumaliza janga hili.

-----------

Can I choose which vaccine to take?

Yes. All currently authorized and recommended COVID-19 vaccines are safe and effective, and CDC does not recommend one vaccine over another. The most important decision is to get a COVID-19 vaccination as soon as possible. Widespread vaccination is a critical tool to help stop the pandemic.

Source: CDC
 
Hakuna jambo la kweli lolote wanalosema. Kila wanachosema ni uongo mtupu. Malengo yao makuu ni mawili - ambayo yote hayana uhusiano wowote na afya yakowala na virusi vya korona:
1. Kupunguza wanadamu duniani
2. Kumwekea kila anayebakia identity ili waweze kummliki na kumtawala KILA MMOJA WAO.
 
Mtaongea sana labda msubiri niugue nikija hospital mnichome hio chanjo bila mimi kujua ila nikiwa na akili zangu timamu na utashi wangu mtasubiri sana mimi pamoja na walio chini yangu wote.
 
mtaongea sana labda msubiri niugue nikija hospital mnichome hio chanjo bila mimi kujua ila nikiwa na akili zangu timamu na utashi wangu mtasubiri sana mimi pamoja na walio chini yangu wote ...
Hongera sana. Shikilia hapohapo mkuu. Nami niko timu hiyohiyo.
 
Back
Top Bottom