[emoji1787][emoji1787]..umevuta cha wapi mkuu, nasikia cha kimbiji kikali kinomaIfike mahali lockdown iwe kwa wenye umri kuanzia 55 kuendelea na walio chini ya huo umri washike hatamu kuliongoza taifa mpaka Corona iishe ulimwenguni kote ndo tuwarudishie madaraka
Cjavuta mkuu wenye 55 na kuendelea wawekwe kwenye lockdown maana wanatubania rizki sana huku mtaani hata mademu zote wanapita nao[emoji1787][emoji1787]..umevuta cha wapi mkuu,nasikia cha kimbiji kikali kinoma
Ndio maana Msuba umepigwa marufukuHaya mambo upangwa tangu unapozaliwa. UKIPANGIWA UTAPATA KORONA UTAPATA TUU. UKIPANGIWA UTAPATA NGOMA UTAPATA TUU HAMNA NAMNA NDO MAANA VITOMBI VILIVYOKUBUHU WAKO FRESH HAWANA NGOMA WAKIENDA KUPIMA HOLAA UNABAKI KUSEMA WTF KUMBE NI FORCES IF NATURE TANGU AWALI.
Kingine ukipangiwa kuwa tajiri utakuwa tu. Na ukipangiwa kuwa maskini hata ufanyaje ndo imetoka iyo. Kwa iyo maskini yeyote akikuomba hela mpotezee kwasababu ukimpa utakuwa umeingilia kazi ya Mungu na utapata pigo. Mpe chakula, matumaini na maombi.
Bado asilimia kubwa ya maradhi mengi yanayotusumbua hutokana na ulaji wetu.afrika kuijipa moyo sio jambo baya japo vyakula tunavyokula ni organic sna.
Unazungumzia waliyochanjwa kuvaa barakoa au kutowekwa karantini?Yanii nyie Anti-Vaxxx kila takataka mnayokutana nayo huko mnaileta mtaani bila kuichakata hii hapa chini ni updated news kwa US na UK kama umechanjwa hakuna haja yakuwekwa Quarantine kama hujachanjwa siku 14 zinakuhusu haya ropoka tena........
Covid: No quarantine for fully jabbed US and EU travellers
BBC Link Covid: No quarantine for fully jabbed US and EU travellers
Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa.Kipya nini hapo? Ukichanjwa unavaa barakoa hakuna jipya hapo.
Hata kama una chanjo haimanishi utashindwa kuvibeba hivyo virusi na kuwaambukiza wengine wasio na chanjo... Je dunia nzima imeshapewa chanjo? Ni jitihada gani zinaitajika kuwakinga ambao bado hawana chanjo?Unazungumzia waliyochanjwa kuvaa barakoa au kutowekwa karantini?
Sio kuvibeba tu hata wao waliyochanjwa huumwa pia.Hata kama una chanjo haimanishi utashindwa kuvibeba hivyo virusi na kuwaambukiza wengine wasio na chanjo... Je dunia nzima imeshapewa chanjo? Ni jitihada gani zinaitajika kuwakinga ambao bado hawana chanjo?
Weka ubongo kichwani ndo uzungumze, what's the rate for vaccinated people to catch covid-19 versus unvaccinated? Usiongoee kama umemiss Gwajima nendeni akawafanyie ile kitu ninyi mnapenda.Sio kuvibeba tu hata wao waliyochanjwa huumwa pia.
Point ni kwamba wapo wanaopata chanjo ila hupata maambukizi na kuumwa corona na wengine hupoteza maisha kabisa, nimeeleza hali ilivyo sijataka kufanya ulinganisho. Hayo ya Gwajima sijui yanaingiaje kwanza habari zake nafanya kuzisikia tu sijakaa kumsoma hasa anasema nini, halafu usiwe na mawazo ya kwamba wenye mitazamo tofauti kuhusu chanjo na corona kiujumla ni watu aina ya akina Gwajima tu kuna watu wataalamu mbalimbali wenye mitazamo tofauti tofauti.Weka ubongo kichwani ndo uzungumze, what's the rate for vaccinated people to catch covid-19 versus unvaccinated? Usiongoee kama umemiss Gwajima nendeni akawafanyie ile kitu ninyi mnapenda.
Sawa GwajiboyPoint ni kwamba wapo wanaopata chanjo ila hupata maambukizi na kuumwa corona na wengine hupoteza maisha kabisa, nimeeleza hali ilivyo sijataka kufanya ulinganisho. Hayo ya Gwajima sijui yanaingiaje kwanza habari zake nafanya kuzisikia tu sijakaa kumsoma hasa anasema nini, halafu usiwe na mawazo ya kwamba wenye mitazamo tofauti kuhusu chanjo na corona kiujumla ni watu aina ya akina Gwajima tu kuna watu wataalamu mbalimbali wenye mitazamo tofauti tofauti.
Zingatia hilo.
Inafikirisha sana Hii Delta Variant....Mamlaka ya udhibiti na kuzuia magonjwa Marekani CDC imetangaza amri mpya kuwa watu wote walio choma chanjo ya kuzuia Corona waanze tena kuvaa barakoa katika mikusanyiko ya ndani.
Amri hii inakuja miezi kadhaa tangu mamlaka hiyo ilipotoa ruksa kwa wote walio chanjwa kuto vaa barakoa.
Maamuzi ya CDC kutaka waliochanjwa kuvaa barakoa yametokana na kuongezeka kwa watu wenye maambukizi ya Corona katika miji kadhaa nchini humo ikiwemo Florida na Missouri vilevile kutokana na kuongezeka kwa ripoti ya maambukizi ya virusi hatari zaidi aina ya Delta kwa watu ambao wamekwisha pata chanjo zote mbili.
Mamlaka hiyo imeongeza kuwa kila mtu anapaswa kuvaa barakoa na kuweka msisitizo kwa Walimu, wafanyakazi, wanafunzi na wageni katika shule zote bila kujali wamechanjwa au bado.
Source: BBC SWAHILI
Sawa tumekusikia Askofu Rashid.Kituo kituo kikubwa kabisa kinachoshughulika na magonjwa ya kuambukiza cha marekani (CDC) kimelazimika kutoa matokeo yanayoonesha kuwa chanjo haimkingi kabisa aliyechanjwa kuambukizwa corona!! ROBO TATU ya maambukizi mapya yanawapata waliochanjwa chanjo ya corona. Asilimia 80 ya wanaoelemewa na
corona na kulazwa ni wale waliopata chanjo kamili, yaani chanjo mbili!! Hatimaye watu wataelewa tu! Wanapendekeza angalau barakoa zinasaidia. Hawa hapa soma mwenyewe! Ikibidi tafuta mkaliman kama lugha ya malkia ni tatizo!
The CDC released that evidence on Friday. In a study of 469 cases of Covid-19 that broke out in the resort town of Cape Cod, Massachusetts, earlier this month, 74% occurred in “fully vaccinated persons.” Four out of five patients hospitalized were fully vaccinated, and on average the inoculated had completed their two rounds of doses only 86 days before infection.
The cases studied occurred in people vaccinated primarily with Pfizer and Moderna shots, with a smaller number having received Johnson & Johnson’s one-dose jab. No one vaccine was singled out as providing better or worse protection, and none appeared to prevent symptoms from developing. Some 79% of vaccinated patients were symptomatic, the study noted.
Lab testing revealed that 90% of all the Cape Cod infections involved the Delta variant of the coronavirus.
The report lends weight to the argument that the current crop of vaccines aren’t as effective against the Delta variant, although the CDC and World Health Organization (WHO) both insist that vaccination is effective against “severe disease and death” from the virus, to quote WHO technical lead Maria Van Kerkhove in a briefing earlier on Friday.
ALSO ON RT.COM
Governor Abbott threatens to fine local govts that order Texans to mask up as CDC U-turn triggers wave of new mandates
However, the CDC study noted that similarly high viral loads were found in vaccinated and unvaccinated people. Walensky stated on Friday that “high viral loads suggest an increased risk of transmission” and raised concern that “vaccinated people infected with Delta can transmit the virus.” The study itself is less alarmist, stating that “microbiological studies are required to confirm these findings.”
Walensky said that the Cape Cod study was “pivotal” in informing the CDC’s decision to recommend indoor masking. Previously, the agency drew flak from Republicans for using an extremely limited Indian study on viral loads and potential transmission to back up the mask guidance, as was revealed by documents leaked to the Washington Post on Thursday.
The study appears to negate the argument by top health officials that unvaccinated Americans are responsible for the fourfold rise in Covid-19 cases in the US since June. “This is an issue predominantly among the unvaccinated, which is the reason why we’re out there, practically pleading with the unvaccinated people to go out and get vaccinated,” White House coronavirus adviser Dr. Anthony Fauci told CNN on Sunday, adding that the US is currently moving “in the wrong direction” with regard to stamping out Covid-19.