CDE. Issa Gavu apokelewa kwa shangwe na Mwenyekiti wa UWT CDE. Mary Chatanda

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,278
Reaction score
797
Katibu wa NEC, Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC).

Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na Kumpongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya ya utekeleza wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025 kwa kipindi cha miaka 3 akiwa madarakani kuanzia 2021 - 2024.

Katika ushiriki wake, Ndugu. Gavu ndiye Mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Balozi. Emmanuel Nchimbi.

๐Ÿ—“๏ธ 26 Machi, 2024

#KongamanoLaKumpongezaRaisSAMIA
#Miaka3YaRaisSAMIA
#UWTImaraJeshiLaMamaSamia
#MwanamkeNipo
#KaziIendelee

Maccm๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿพ๐Ÿšถ๐Ÿผโ€โ™‚๏ธ
 
Nchi ngumu sana hii,Mchele Kilo Moja Tsh. 3800,haya ya kina Gavu na kumpongea Samia yanasaidiaje kupunguza Bei ya Mchele, Sukari na bidhaa nyingine??
 
Gavu jiangalie mikono hiyo na mwezi huu mtukufu wa Ramadhani
 
CDE. ISSA GAVU APOKELEWA KWA SHANGWE NA MWENYEKITI WA UWT CDE. MARY CHATANDA

katibu wa NEC , Idara ya Organaizesheni Ndugu. Issa Haji Ussi (Gavu) tayari amewasili katika Ukumbi wa Mkuki House na kupokelewa na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Umoja wa Wanawake Tanzania (UWT) Ndugu. Mary Chatanda (MCC).

Ndugu. Gavu amefika na kuungana na UWT katika Kongamano la Kumshukuru na Kumpongeza Mwenyekiti wa CCM na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kazi kubwa aliyoifanya ya utekeleza wa Ilani ya Uchaguzi ya CCM ya mwaka 2020 - 2025 kwa kipindi cha miaka 3 akiwa madarakani kuanzia 2021 - 2024.

Katika ushiriki wake, Ndugu. Gavu ndiye Mgeni rasmi akimwakilisha Katibu Mkuu wa CCM Ndugu. Balozi. Emmanuel Nchimbi.

๐Ÿ—“๏ธ 26 Machi, 2024

#KongamanoLaKumpongezaRaisSAMIA
#Miaka3YaRaisSAMIA
#UWTImaraJeshiLaMamaSamia
#MwanamkeNipo
#KaziIendelee
 
Attachments

  • IMG-20240327-WA0239.jpg
    617.5 KB · Views: 3
  • IMG-20240327-WA0243.jpg
    711.6 KB · Views: 8
  • IMG-20240327-WA0240.jpg
    712.9 KB · Views: 5
  • IMG-20240327-WA0242.jpg
    713.4 KB · Views: 3
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ