Lucas Mwashambwa
JF-Expert Member
- Jul 28, 2022
- 40,476
- 26,173
Utashangaa CHADEMA wananuna na kuvimba mashavu. Maana wangetamani aongee mambo ya kuwafurahisha waoGen. J.Mkunda yuko sahihi kabisa kwa 100%š
Vp kuhusu viongozi wa nchi wanaovunja katiba wazi wazi?Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.
Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.
āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ma dealer wakuu wa madawa (source ya mateja) ndio hao hao viongozi wa CCM waliopo ofisini NA WASTAAFU, Mkuu nae magwanda yanampwaya, A right message to a wrong audience.Gen. J.Mkunda yuko sahihi kabisa kwa 100%š
General akumbuke hayaNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.
Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.
āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
General afahamu iko sikuGen. J.Mkunda yuko sahihi kabisa kwa 100%š
Unakabia juu sanaIla kinajengwa na wafiraji, watekaji, wauaji na mafisadi wa kula kwa urefu wa kamba zao
fikra za wafuata mkumbo ni duni na za kinyonge mno, I don't know why aise wanakua katika hali ya upotofu always šMa dealer wakuu wa madawa (source ya mateja) ndio hao hao viongozi wa CCM waliopo ofisini NA WASTAAFU, Mkuu nae magwanda yanampwaya, A right message to a wrong audience.
Huyu Jenerali lazima atakuwa F4 failure!Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.
Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.
āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Fikra sio facts, zinabaki kuwa fikra, mi nakupa facts, wanaozuia madawa ndio wakulima na wanaosambaza, hai ingii akilini, kuanzia grasslevel kwa balozi, kwenda kwa mwenyekiti wa mtaa/ kijiji mpaka iKULU wote ni CCM, then hawa mateja kila kona, justification ya suppliers wao ni kina nani kama sio hao hao viongozi? kama sio, basi ni wamefeli kufanikisha ulinzi wa mipaka ya nchi, wakiwemo hao wala kodi wavaa mabaka mabaka.fikra za wafuata mkumbo ni duni na za kinyonge mno, I don't know why aise wanakua katika hali ya upotofu always š
NRM bossNdugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.
Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.
āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ndugu zangu Watanzania,

āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfuu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Ajira kwa vijana na sera nzuri ndio kiini cha yote.Ndugu zangu Watanzania,
Hiyo ni Kauli nzito iliyotolewa na Mkuu wa Majeshi Ya Tanzania.
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania (JWTZ), Jenerali Jacob Mkunda, amesema Taifa imara halijengwi na Watu wanaojihusisha na vitendo vya utapeli, ugomvi, uhalifu na uvunjifu wa sheria, huku akisisitiza kuwa maendeleo ya Nchi yanategemea uwepo wa Wananchi wenye maadili mema.
Jenerali Mkunda ametoa kauli hiyo leo Juni 5, 2026 wakati wa uzinduzi wa jengo la ghorofa la kusomea Wanafunzi katika Shule ya Sekondari Makongo, Jijini Dar es salaam ambapo amesema Vijana wanapaswa kupewa elimu bora itakayowajengea uwezo wa kuwa raia wema na kuchangia maendeleo ya Taifa badala ya kujiingiza katika vitendo vinavyohatarisha usalama na ustawi wa Jamii.
āJengeni moyo wa kizalendo wa kuhakikisha Taifa letu linaloelekea kuwa huru, imara na kuheshimika kwa miaka elfu ijayo,āamesema Jenereli Mkunda.
Kazi iendelee, kazi iendelee Mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa Maisha ya watanzania Wanyonge wasio na Sauti.
Lucas Hebel Mwashambwa, Mama ANATOSHA kuendelea kuliongoza Taifa letu kwa muhula wa pili.
Uwe na adabu kwa ViongoziHuyu Jenerali lazima atakuwa F4 failure!
CV yake haijitoshelezi.
Ukafute kule kwenye mitandao, kwani wewe ndio una udhibiti?Uwe na adabu kwa Viongozi
Achana naye huyo mzanzibari.Ukafute kule kwenye mitandao, kwani wewe ndio una udhibiti?
Na kumbuka, kama una akili za kukutosha, kauli zimtokazo mtu, zinaashiria kilicho kichwani mwake, au kama hakuna kitu.