CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

Mhuni Samia anayelewa Whisky Ikulu kamtaja?
 
Anafikiri inajengwa na wezi, wala rushwa waliowekwa mfukoni na viongozi wa nchi?
 
Ila inajengwa na mafisadi ,wezi wa mali za umma ,waroho wa madaraka na wasiojulikana?
 
Utashangaa CHADEMA wananuna na kuvimba mashavu. Maana wangetamani aongee mambo ya kuwafurahisha wao
Yaelekea huko CCM hakuna anayekufikisha kileleni ndiyo maana muda wote unaiwaza Chadema tu, au labda wengi wamekufokoa sasa wamekuchoka sasa unataka uje Chadema. Sisi hatuhitaji takataka kama wewe marinda huna muda wote unabubujikwa na haja kubwa.
 
Pumbavu zake. Anataka kutuaminisha kuwa nchi inajengwa kwa kuua watu, kuteka, kupoteza, kufira watu wanaotaka uhuru wa kujieleza na kudai katiba mpya.
 
Juzi kati nilipita mitaa ya mbagala huyu si ndio ameuza eneo la jeshi kwa GSM, halafu wanasababisha foleni
 
Huyo mkuu wa majeshi hana akili. Askari wake wameteka, wametesa, wamejeruhi, wamebaka, wamelawiti na wameua watanganyika wasio na hatia. Yeye uhusiano wake wa karibu na Abdul Hafidh Ameir, mtoto wa bibi Mashavu ndiyo anaouana ni sahihi. Mwizi huyo mkuu wa majeshi aliyewekwa kwa fadhila za Kikwete, na Ridhiwani, ni mweupe kichwani, mshamba na hana elimu ya kutosha. Ameuawa watanganyika wengi sana kwa amri ya huyo Bi Kizimkazi (Kimama) Bado anawaamuru waendelee kuua watanganyika. Anaongelea mavi huyo fala eti elimu bora.....wao watoto zao mbona hawasomi hapa nchini...Mabaradhuli hawa. Uzalendo gani wakati hamfanyi haki mnaiba kura za wananchi na mnawazuia wengine kupiga kura. FALA WEWE MSHENZI MKUU WA MAJESHI FAKE, MKUNDA, OTHMAN HAJI, KIKWETE, SAMIA, IGP, MULIRO, MAFWELE, KABUDI, MWIGULU, RIDHIWANI, MOMBO, ABDUL, WAKUU WA MIKOA AKIWEMO CHALAMILA, HOMERA NA WENGINE MLIOHUSIKA......MIKONO YENU IMEJAA DAMU
 
Uwe na adabu na heshima kwa vyombo vyetu vya ulinzi na usalama na utambue kazi njema na ya kutukuka ambayo imekuwa ikifanywa na askari wetu ambao wamejitoa kama sadaka kulinda Taifa letu kwa jasho na Damu
 
Matapeli wakubwa ni wale mafisadi, wala rushwa, wauaji,wanaoingia mikataba ya kilaghai n.k

Hawa wote wanashiriki kuibomoa nchi iliyongwa na wazalendo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…