CDF Jenerali Jacob Mkunda: Nchi Haijengwi Na Wahuni na Mateja

Hivi Kuna wahuni wanaowazidi wale wanaoteka na kuua wenzao?
CDF arudie tena na arekebishe kauli yake.asitumike kisiasa.
Tunapenda amani sana.
Ila vp kuhusu kutekwa Kwa watu na kuuliwa ni sehemu ya amani na kujenga nchi?
 
Jenerali wa ovyo kuwahi kutokea Tanganyika.

Mpiga dili wa CCM mtandao.
 
Kumbe sasa wameruhusiwa kufanya siasa!
 
Mkunda ni muhuniiiiiiiii ameshindwa kulinda watanzania yupo kwenye genge la ccm
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…