DOKEZO CDF Mkunda, angalia watu wanaokuja na majina mfukoni ili kwenda JWTZ badala ya kufuata utaratibu

DOKEZO CDF Mkunda, angalia watu wanaokuja na majina mfukoni ili kwenda JWTZ badala ya kufuata utaratibu

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'

March12

New Member
Joined
Sep 19, 2022
Posts
2
Reaction score
0
CDF Mkunda kwanza kabisa hongera kwa kuteuliwa kuwa mkuu wa majeshi.Najua unachangamoto kubwa Sana ya kubadili mfumo mbovu wa ajira au uandikishaji wa vijana JWTZ mfumo ambao uliopita ulikua ni mfumo mbovu ambao haujawahi tokea takribani muongo mmoja uliopita.

Kwanza vijana hawakupata ajira Kama hujajenga kitu ambacho kiliumiza baadhi ya wazalendo wa nchi hii.

Pili namna vijana ambavyo wamechukuliwa kujiunga na mafunzo ya awali ya JWTZ tulizoea miaka ya General Mwamunyange walikua wanaandikishwa makambini lakini leo asilimia 80 vijana waliopo Orjolo ambao wanategemea tarehe 30 kula kiapo Cha utii hawakundikishwa kwa njia halali ni asilimia 20 tu ndiyo walifuata utaratibu.

Hivyo basi CDF mambo ni mengi tunataka urudishe heshima ya JWTZ Kama Ile ya kina Mwamunyange. Chukueni vijana kwa kifuata utaratibu kwani jeshi siyo chama Cha siasa kila mtu aje na majina yake mfukoni andikisheni vijana wenye uzalendo siyo vijana ambao hawana weledi.

Pia utakosea Sana kwenda na tume ya uajiri ambavyo umeikuta ni tume mbovu ivunje weka tume ambayo inajua Nini maana ya kuandikisha Askari.

Nasema hivyo kwakua utahitaji Askari wapya kuandikishwa hivyo usirudie makosa ya mtangulizi wako
 
Back
Top Bottom