CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

Mnyama huyuhuyu Simba Sc anayejiandaa kucheza na Coastal Union? Au yupi huyo?
 
[emoji120][emoji120][emoji120],Umeongea point sana mkuu.
 
Ni mawazo yako tu.Kula Chips yai,kunywa na mirinda ya baridiii,kula starehe.
 
Soma Maandiko Matakatifu uelewe.
 
Hizi stori za kitoto tulishazizoea sana,ni km nyimbo za watoto tu,ambazo haziwezi kukesha ngoma.
 
Tangu may 14 Maaskofu wote Wakatoliki Tanzania wanafanya ziara ya kichungaji nchini Vatican ambayo kilele chake ni leo may 21.katika kuhitimisha ziara hiyo leo wansoma misa maalumu kwa ajili ya nia mbali mbali!misa hiyo inaongozwa na Rais wa baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania askofu Flavian Kasala wa jimbo Katoliki Geita.Pia katika ziara hiyo wameambatana na mkuu wa majeshi mstaafu Venance Mabeyo na Katibu wa baraza hilo Padre Charles Kitima!naomba kufahamu Maaskofu wameambatana na mkuu wa majeshi mstaafu akiwa kama nani (kuuliza si ujinga)pia unaweza kufuatilia Ibada hiyo inayoendelea sasa kupitia vyombo vya habari vya Kanisa ikiwemo Radio Maria Tanzania.Uwe na Dominika njema!
 
Ndiyo maana dini zinazidi kupoteza waumini. Hizi dini za siku hizi zinachagua watu wakubwa wenye vyeo na fedha tu....
 
Ndani ya kanisa katoliki kuna tume ya amani na MAJESHI, huyo mwanajeshi mstaafu wa ngazi ya juu kwa kuwa ni mkatoliki huenda wamempa kazi ya kanisa hilo kwenye hiyo tume yao, ndio maana kwenye ziara ya vatikani na yeye yumo
 
Jenerali Venance Mabeyo ni mstaafu jeshini! Ni muumini wa Kanisa Katoliki. Kwenda Vatican na kushiriki hiyo hija, kuna tatizo gani?

Mbona kuna viongozi wengi tu wastaafu, na pia wale wanao endelea na majukumu yao serikalini nao wamekuwa wakienda kuhiji Mecca kila mwaka, lakini huoni mtu akiuliza kwa nini wameenda huko?

Imagine mtu ametumia gharama zake! Lakini bado kuna watu mnahoji!! Au kuna kosa lolote lile amefanya kwa kwenda kwake Vatican? Vipi kama ameenda kama mwakilishi wa viongozi wa Walei nchini? Na lenyewe ni kosa, kwa sababu tu alikuwa ni mkuu wa majeshi nchini? Je, ukiwa mwanajeshi/kiongozi wa jeshi hutakiwi kuwa na dini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…