CDF mstaafu Mabeyo kukutana na Papa Francis

Mchango...!!
 
Heko CDF Mabeyo anastahili ni moja kati ya watu wachache wanaokuwa na madaraka na kuwa wanyenyekevu na wapenda dini wakati wote bila kisingizio cha kuwa bize na kazi,huyu Baba kwa upande wa kulitumikia Kanisa kashiriki vyema pamoja na kuwa alikuwa Mkuu wa Majeshi.

Ni vyema amepewa maua yake mapema kabisa
 
Hakuna kama Roma
 
Kwani mnaposikia 'Mfumo Kristo' huwa mnaelewa ni kitu gani hicho? Tatizo kule msikitini watu huambiwa kuwa huo ni Mfumo wa Wakristo kupendeleana na kujazana kwenye nafasi fulani fulani. Huo ni zaidi ya hapo...nasisitiza, ni zaidi ya hapo. The Catholic church is extremely powerful, muwe mnaelewa.
 
ulikuwa sister au? hujaenda deep
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…