CDM ilipoteza muelekeo 2015

CDM ilipoteza muelekeo 2015

Pantosha

JF-Expert Member
Joined
Sep 22, 2022
Posts
640
Reaction score
958
Makosa ya CDM 2015 yamekitafuna sana chama. Si mbowe wala Lissu ambao wanajua wanachokitaka. Walichitufanyia 2015 kutuletea EL maumivu waliyotusababshia, Mungu tu ndo anajua.
 
Makosa ya CDM 2015 yamekitafuna sana chama. Si mbowe wala Lissu ambao wanajua wanachokitaka. Walichitufanyia 2015 kutuletea EL maumivu waliyotusababshia, Mungu tu ndo anajua.
Sasa kama ilipoteza muelekeo wizi wa kura wa nini ?.
 
Makosa ya CDM 2015 yamekitafuna sana chama. Si mbowe wala Lissu ambao wanajua wanachokitaka. Walichitufanyia 2015 kutuletea EL maumivu waliyotusababshia, Mungu tu ndo anajua.

..yaliyopita si ndwele.

..tugange yaliyopo, na yajayo.

..tunahitaji HAKI, DEMOKRASIA, NA MAENDELEO YA WATU.
 
Rais kutoka CCM ndiye huwa anatoa taswira ya upinzani wa Tanzania, akiyanyima "minuso" na "connections" kama alivyowabania Jiwe yanakuwa wapinzani WA kweli, akiyapa juisi na kawagawia bahasha kama anavyofanya Hangaya kupitia kwa Abdul wanatepeta haswa!

Nje ya mada, kama kuna mtu mwenye taarifa za hali ya Abdul Nondo anaendeleaje anijulishe hata kupitia PM!
 
Sasa kama ilipoteza muelekeo wizi wa kura wa nini ?.
Wizi mwingine ni wa mazoea tu. Hivi unajua mwizi anaweza kujibia mwenyewe? CCM uhakika wa kushinda wanao sana
 
Back
Top Bottom