Ceaser Manzoki hawezi hata kuwa Back Up kwa Mayele

Ceaser Manzoki hawezi hata kuwa Back Up kwa Mayele

demigod

JF-Expert Member
Joined
Jan 2, 2015
Posts
8,292
Reaction score
15,250
Hizi ni tetesi ambazo zimeanzishwa.kwa lengo la kuwapoteza maboya Simba. Simba wana tatizo kubwa sana la mchezaji wa ukabaji na sio box to box. Tatizo hilo liliwapelekea kushinda game 1 kati ya game 7 ambazo wamecheza na Yanga.

Kufanya wasifikirie kuhusu eneo hilo, waandishi wa habari za michezo Uganda wamechukua loop hole ya uwepo wa makamu kwenye Nchi yao kuanzisha hizi tetesi.

Hata ukitumia jicho la kiuchambuzi huwezi amini kama Yanga wanaweza unguza 200,000usd kwa mchezaji back up.

Manzoki hawezi kuanza kikosi cha kwanza pale jangwani isipokuwa anaweza kuanza kule msimbazi.

Hii tetesi inalenga zaidi viongozi wa simba wafocus kwenye kuokoa windo lao zaidi kuliko kutibu ugonjwa wao.
View attachment 2327809
 
Kwa hiyo press ya kesho mnatuletea feedback ya zile ajira?
 
[emoji471]
IMG-20220818-WA1411.jpg
 
Ngoja tuone maana hizi tetesi zinatuweka roho juu mashabiki wa Simba
 
Yakipoitwa mbumbumbu ni sawa
Yanaingizwa chaka yanaenda 😂
 
Unajipooza baada ya kuona kwamba hamtampata hahaah Kweli nyie akili zenu mnazijua. Leo ndo wakusema hivyo ila sishangai ni namna ya ww kuituliza roho yako. Halafu si ndo nyie mlikua mnashangilia hapa kwamba press ya leo anatambulishwa huyo manzoki imekuwaje tena?.
 
Daah Ila we kajamaa ni ka hovyo Sana Sasa mayele ana kipi wakat kazidiwa had na mpole msimu uliopita?
Yaan mayele kuifunga Simba Basi mnaona huyo jmaa ndio kila kitu.
Mara ya mwisho yanga kushinda kimataifa ilikua Lin na huyo mayele alifanya nn?

Manzok hawez Anza yanga Ila makambo anaanza .
Shida una ushabiki mavi kweli
 
Ati Mayele ana nini? muuulize Inonga mimwanya
 
Back
Top Bottom