CECAFA, 6/12/2017: Zanzibar Heroes vs Kilimanjaro Stars

Aisee Tanzania Bara 1 Tanzania visiwani 2.
Sijui hawa jamaa wanafanya nn uwanjani.
Kocha kabla ya kuwa na hii timu mwenye profile lake plse
 
Huyu Selembe ni Fundi kwa kifup Zanzibar wanamafundi wengi.
Hawavumi ila wapo leo wameonysha kuwa hata kiphysic wao safi mnoo bara ndo wanaenda chini wenyewe tu.
Wachezaji wamechoka mnoo warudi nyumbani tu tulijenge taifa
 
Man of the Match Ibrahim Hamada from Zanzibar anastahili.

Ohoo Sijui wala Orojo leo wameprove wrong wapo na physic ya ukweli huku bara physic ndo bure kabisa
 
Tabu ya kuchagua wachezaji wengi wa mnyama aka FIFA FC ndio hii.
 
Watu milioni 50 mnachapwa na watu milioni na.
Bora Tanganyika iwe kama India,waluamua tu kuwa wazee wa filam za uongo
 
Yale yote nlikua nayataka kutoka Kilimanjaro Stars yanapatikana Zanzibar heroes vile sina haja ya kuendelea kushangilia Killi Stars naenda Zanzibar.
 
Sijui tunaweza nn sisi jamaa.
Viwanda vya vyerehani. Imagine matumizi ya viwanda vya vyerehani yalifanywa 1790. Miaka zaidi ya 220 iliyopita bado watu wanakuja na stori za viwanda vya vyerehani vinne?
 
Ndo tumetoka hivyo, turudi kuvuna matikiti.
 
TFF endeleeni kubahatisha kuteua kocha wa Kilimanjaro Stars. Huyo Ninje mmemwokota wapi? Kukaa UK isiwe tabu.
 
TFF endeleeni kubahatisha kuteua kocha wa Kilimanjaro Stars. Huyo Ninje mmemwokota wapi? Kukaa UK isiwe tabu.
Tff na watu wake hawapo seriazi hata kiduchu na mpira wetu wa Tanzania.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…