Kilimanjaro stars 2, Zanzibar a.k.a wara uroooojo 1
Mpira umeisha?
Kilimanjaro stars 2, Zanzibar a.k.a wara uroooojo 1
Kilimanjaro Boyz weshamtungua goli moja Rwanda hadi sasa, bao limefungwa na Athumani Idd Chuji. Mpira unaendelea
Mpaka tunaenda mapumnzikoni bao ni 2-0 magoli yote kapiga Athman Idd 'Chuji'
Mkuu ahsante kwa habari nzuri,
Kazi nzuri chuji, huyu kijana i think by this time alitakiwa awe na timu nje uwezo wake ni mkubwa sana sijui tatizo ni nini?