Tejaz?
TBC taifa walisema ni Maftah, sasa sijui tumuamini nani?Nimesikiliza kupitia radio 1 wanasema aliekosa ni Ulimboka mwakingwe
TBC taifa walisema ni Maftah, sasa sijui tumuamini nani?
Updates.....Bunamwaya Vs El Mereikh mpira utaanza baada ya dk chache kupita
dakika ya 7 elman 0 yanga oupdates.....
Kila la kheri kandambili..................Yanga wamenza kwa mkwala, lkn hawajapata gori dk ya 17 sasa