CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Semeni ukweli ulioko uwanjani, refa hajabeba mtu hapa???
 
Bunamwaya wanatolewa nje ya mashindano..............
 
Nimeamini Sam Timbe ni mtu wa maajabu wakuu.............
 
Hata kwa dawa............

Nadhani mrithi wa Ngasa atakuwa ni Hamis Kiiza.............

Mkuu Hamis Kiiza ni zaidi ya washambuliaji wote wa Tanzania, natamani na sisi tumpate Owen Kaswile.
 
Eh! yaani siamini. hivi hivi kwenye tundu la sindano.
 
Maajabu ya Sam Timbe yametimia............

Kama kibabu Ferguson vile
 
Bunawanya wana nafasi ya kuingia kama best looser!
 
Semeni ukweli ulioko uwanjani, refa hajabeba mtu hapa???

Refa hajabeba mtu mkuu,ni makosa madogomadogo tu ya kawaida,ilifikia kipindi mashabiki wa Yanga walianza kulalamika wanaminywa na refa............Magoli yote ya Yanga ni mazuri kabisa,ya kideo na hata ya Bunamwaya pia ni mazuri....

Kilichoonekana ni Bunamwaya kujaribu kupoteza muda katika dakika 5 za mwisho kitu ambacho kimewagharimu................Nafurahi kuona magoli yote ya Yanga yametokana na shooting za mbali na si yale ya anao anao mpaka golini
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…