Duh Mwape anatisha, yaani amefunga kwa mdomo kama ulivyosema
Bunawanya wana nafasi ya kuingia kama best looser!
Ulinzi wametoa sare na APR, hivyo Bunamwaya watatoka.
Itategemea na matokeo ya Ulinzi na APR Morogoro...........
Mkuu na huyu Mghana unasemaje? ukimlinganisha na Mwape? au ni mapema saana kusema?
Nadhan APR ndo wanatoka
Wametoa sare ya ngapi na Ulinzi?
Nadhan APR ndo wanatoka
Wametoa sare ya ngapi na Ulinzi?
Sijui ni sare ya ngapi, ila wao wanaweza kuingia kutokana na kwamba waliwafunga Ports goli nyingi.
Kama best looser ataanza kuangaliwa kwa goal difference, basi APR wanavuliwa ubingwa, kwa sare yoyote watakayopata Moro
Hongereni sana wanayanga wenzangu kwa ushindi na poleni sana kwa kipindi kigumu sana cha pili........
APR wana goal difference nzuri nadhani maana game ya kwanza walimfunga Prts FC 4-0,ya pili wakafungwa na St. George 2-1 na leo wametoka sare ya 0-0.................
Bunamwaya wao game ya kwanza waliwafunga Elman 4-0,ya pili wakatoka sare ya 1-1 na Elmereikh na leo wamefungwa 3-2 na Yanga....Bunamwaya wamefungwa magoli mengi ukilinganisha na APR

Kwa hiyo APR kavuliwa ubingwa?Bunamwaya wana magoli 7 wamefungwa 4APR wana magoli 5 wamefungwa 3
Kwa hiyo APR kavuliwa ubingwa?