CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Full time Simba Vs Red sea 0:0
 
QRt Fina Fixture

05/07/2011
Ulinzi Vs El Mereikh
Simba Vs Bunamwaya
06/07/2011
St George Vs Vital O
Yanga Vs Red Sea
 
QRt Fina Fixture

05/07/2011
Ulinzi Vs El Mereikh
Simba Vs Bunamwaya
06/07/2011
St George Vs Vital O
Yanga Vs Red Sea
Asante mkuu kutujuza......kazi kwao YANGA kuonyesha wao zaidi kwa kuwatoa RED SEA
 
Kweli Simba Mzee ni kama mbuzi mee tu
 
QRt Fina Fixture05/07/2011Ulinzi Vs El MereikhSimba Vs Bunamwaya06/07/2011St George Vs Vital OYanga Vs Red Sea
Nina wasiwasi na hii fixtureUlinzi ni wa pili kundi lao, how come acheze na wa pili mwenzake?
 
Kweli watu wa Yanga mnachonga, unadiriki kusema simba mzee wakati ni timu pekee ambayo haijafungwa hata goli moja.
 
[TABLE="width: 480"]
[TR]
[TD="class: headline1, colspan: 2"]Bunamwaya face Simba in last 8[/TD]
[/TR]
[TR]
[TD][/TD]
[TD="align: right"][/TD]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]By Samson Opus in Dar-Es-Salaam

Kagame Castle Cup
Quarter-finals

Tuesday
Bunamwaya v Simba
Ulinzi v El Mereikh

Wednesday
Y. Africans v Red Sea
Vitalo’O v St. George

BUNAMWAYA Sports Club will face five-time champions Simba of Tanzania in the Kagame Castle Cup quarterfinals tomorrow.

The match pits two Ugandan coaches seeking their maiden crown in the soccer show.

Bunamwaya’s Edward Goloola will come up against Simba’s Moses Basena as the battle for a place in the semi-finals starts.

Bunamwaya advanced to the quarter-finals as the best loser in group B after losing to the hosts Young Africans 3-2 on Saturday. The home team is handled by another Ugandan coach Sam Timbe.

Simba advanced after drawing goalless with Red Sea of Eritrea in the last group A match held in Dar-es-Salaam yesterday.

Ulinzi of Kenya will take on Sudan giants El Mereikh in the other game of the last eight tomorrow.

Young Africans are pitted against Red Sea while Burundi entrants Vitalo’0 are up against St. George of Ethiopia on Wednesday.

Cash prizes await the top performers.

Source: New Vision Online : Bunamwaya face Simba in last 8

Mtani uliwashangalia sana hawa jamaa siku ya jumamosi, nakungoja na wewe kesho. Kama kawaida na mimi nitawashangalia sana!!!!
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 

Poa mkuu,ilikuwa inachanganya.Ratiba inasema mshindi wa kwanza na wa pili kila kundi na best loosers 2 wa kutoka kundi lolote kati ya hayo matatu wanakamilisha 8,kipi ni kipi ,aagh....!?
 

Hapo kwenye red ni six-time champions sio five, mbona wanataka kutushusha wakati wenzenu tunashikiria rekodi.
 
Mechi ya Ulinzi Stars na El-Mereikh inaendelea,ni dakika za mwisho sana .......Mechi imechangamka dakika za mwisho...

Ulinzi Stars 1 El-Mereikh 1...

El-Mereikh wamefunga goli lao dakika ya 87 na Ulinzi wamechomoa dakika ya 89.....

Zimeongezwa dakika 3 na ni dakika ya 92 sasa....

Baada ya dakika 90 ni Penalties
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…