Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Kipindi hiki ndio huwa kinakuwa na presha sana!Mpira umekwisha....Ulinzi Stars 1 El-Mereikh 1...Timu zinajiandaa kupigiana penati ili kupata mshindi atakayeenda Nusu fainali.....Mechi inayofuata ni kati ya Simba na Bunamwaya...