Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,480
- 4,775
Poleni wana yanga yaonekana mnaelekea kutolewa kwa penati kwani mpaka sasa Yanga imekosa penati moja kati ya tanomatokeo zaidi yaja
Penalti za red sea zisiingieIli iweje?
Anapiga Nurdin Bakari sasa...
Anapiga
.Goooooooooooooooooooooooooooal
Yanga 6 Red Sea 5
Engineer projection zako umezikosea sisi haooooooo NUSU fainaliiiiii hahahahahahampaka sasa ndio yanga wanapiga penati,nadhani yanga itatolewa kwa matuta