CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

Hongera simba, tunawasubiri j'pili watani kama kesho mambo yataenda fresh!
 
Simba wanaingia fainali baada ya kushinda penati 6 - 5
HONGERA MTANi, Watani wetu Simbaaaaa
 
huku sina tiivii wala redio...japo mlitaka kunchomoa roho, nawashukuru kina bantalanda kwa updates.
 
Yanga Twaja Kombe letu hiloooo, Jangwaniiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
hongera sana simba ila inavyoonesha kesho kama yanga hawatabebwa inaweza kula kwao na st george wakacheza na simba..
 
Kila la heri Simba kila la heri wa-Tanzania, tunasubiri Yanga kesho ivuke tukutane fainali ili kombe libaki Tanzania.
 
Asante sana.....

Kwa niaba ya watangazaji wenzangu CPU,PrN Kazi na Crashwise.....Bila kumsahau msimamizi wa matangazo haya MTM na fundi mitambo wetu Invisible,mimi ni mtangazaji wenu Bala,nawarudisha moja kwa moja studio namba tatu ya JF......Tukunane tena kesho saa 9:30 jioni katika pambano la Yanga na St. George........

Wasalaam....

Bala
 
Reactions: CPU
hongera sana simba ila inavyoonesha kesho kama yanga hawatabebwa inaweza kula kwao na st george wakacheza na simba..
Hivi hujaiona penalt walionyimwa Elmerekh dakika ya 30, mungetoka kweli si afadhali Yanga penalt zingeendelea?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…