Baba_Enock
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 7,076
- 2,457
vp mkwasa,tumepata bao au?Yanga WATA PIGA BAO mbili(2) sasa HIVI. Read
Naona mpira unachezwa zaidi hapa JF, tuleteeni updates za uwanjani.
Kuna uhai kwa Yanga wa kuwainua watanzania ndani ya dk 90?
Kwa nini asipumzishwe?Tegete asingekuwa na Papara tungekuwa tunasema mengine! 0-0
kama wanaonekana kutokuwa makini na game watolewe nje waingie wengine watakaweza kusaidia team ishinde ili fainal tukutanishe watani wa Jadi.St. George 0 - 0 Yanga
Yanga wanakoswa koswa Nurdin Bakari na Canavaro wanaleta Bhange uwanjani! dk 20
vp muda...
Lolote linaweza kutokea kiongoziKuna uhai kwa Yanga wa kuwainua watanzania ndani ya dk 90?