CECAFA KAGAME CUP 2011 Finals in Tanzania

HAO SI Wahebeshi-ugandans, Ghananians , Italians etc

Mkwasa vipi? Ni hasira ya kuwa Young Africans bado wapo 0 au? Haya basi ni Timu kutoka Ethiopia!

Yanga 0 - 0 St. George

muda wa lala buriani huu - penaliti zinanukia!
 
Yanga wanapata Kona - piga nikupige golini mwa St.George - haina matunda yoyote - Mpira unatoka nje - Unarushwa....Unapotea
 
hureee kwa Yanga : zimeongezwa dakika saba (7) - sasa ni dakika ya 39.. 0-0
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…