Nathan Fabiano
New Member
- May 20, 2011
- 2
- 2
Sherehe za kuzaliwa TANO!!!!
SImba wajanja sana . . . . hahahahahah
Eti Yanga kabebwa wakati kumbe St Geogre ndo walibebwa baaada ya refa kukataa goli la Yanga
Wale wahabeshi tungewamaliza dk 90 tu
Hakuna aja ya kulumbana fulani kabebwa fulani kabebwa, kila mtu amejionea: Cha msingi tumshukuru Mungu kombe lina baki Tanzania na pesa za mshindi wa kwanza na wa pili wanachukua watanzania na hapohapo Kodi inakatwa pato la taifa linaongezeka.SImba wajanja sana . . . . hahahahahahEti Yanga kabebwa wakati kumbe St Geogre ndo walibebwa baaada ya refa kukataa goli la YangaWale wahabeshi tungewamaliza dk 90 tu
Ile penati ina tofauti gani na ile ya Kanavaro?kaka mapezi yakizdi unakua ushamba yanga kabebwa wap? coz all semis ended up in penalts!
Hivi huwa inakatwa kodi ile fedha ya ushindi?Hakuna aja ya kulumbana fulani kabebwa fulani kabebwa, kila mtu amejionea: Cha msingi tumshukuru Mungu kombe lina baki Tanzania na pesa za mshindi wa kwanza na wa pili wanachukua watanzania na hapohapo Kodi inakatwa pato la taifa linaongezeka.
nafainali pia tutabebwa 2tachukua kombe na hela sawa kijana
Ilipanguliwa!!!Penalt ya nsajigwa ilikuwaje? ilipanguliwa au alipiga nje?
CECAFA wako kimaslahi zaidi, j'pili macho yao yote yapo kwenye mapato. Na ndio maana kuna maamuzi mengine ya waamuzi yanachanganya!
Yaani mi nawashangaa sana Simba
Yaani nyie mliwataka St Geogre fainali, baada ya kuwakosa mnaanza ulalamishi
Daaaah, oooh CECAFA mapato, TFF wamepanga matokeo . . . . yaani hamtulii mkaongea ukweli
Bao la Yanga limekataliwa, na bado mnadai Yanga kabebwa, hebu semeni kabebwa wapi leo?