Tanzania 1-0 Ethiopia, Msuva 54'
Tanzania 1-0 Ethiopia, Msuva 54'
Litbc badala ya kuonyesha hii mechi eti yameweka sijui bundesliga alafu yanatangaza kwa kiswahili, hovyo sana hii tv. Ifungwe tu!
Tanzania 1-0 Ethiopia, Msuva 54'
Sure, maana hata hawa wakitushinda basi inatakiwa Magufuli atanganze kwamba sherehe za uhuru tuadhimishe kwa kucheza mpira
Tanzania 1-1 Ethiopia, 90'
Mbonde kajifunga
Quarter finals on Monday
Tanzania vs Ethiopia
Usiniulize ni kwanini tunacheza nao tena Jumatatu!