Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,491
- 2,104
Hawa Zanzibar mwakahuu wamekuwaje
checha hajasikia matokeo mwambieni kabisa lubuva ashasema matokeo ya zanzibar hayatuhusu tanganyika
Mkwassa ampishe King Kibaden Taifa Stars
Mkude aliingia baaada ya kuumia Himidi Mao na ndio jamaa wakaaanza kuishambulia Kilimanjaro StarsKocha Kibaden Ana AKILI Sana na Sishangai Kuwa Hata Enzi Zake Alikuwa Ni Fundi Uwanjani. Kitendo Chake Tu Cha Kuwapanga Said Khamis Ndemla Na Jonas Gerald Mkude Ktk Midfield Kumesaidia Mno Kilimanjaro Stars Kucheza Leo Kandanda Safi Na Kupata Ushindi Na Akiendelea Kuwapanga Hao Wanangu Wawili Ktk Kiungo Namhakikishia Mzee Kibaden Kuwa Kilimanjaro Stars Itarudi Na Kombe Tanzania. Siku Zote Haruna Niyonzima Hawezi Shughuli Ya Mkude Ktk Kiungo. Mkwasa Alinitibua KUNAKOTUKUKA Kumweka Benchi Mkude Na Kumpanga Himid Mao Ktk Defensive Midfield Wakati Mwenye Hilo Jukumu Lake Na La Hiyo Namba Jonas Alikuwepo. Siku Zote Viungo Bora Nchini Tanzania Hutokea Simba Sports Club ( Ukilibishia Tu Hili Wewe POPOMA ).
Hajui mpira huyo analeta usimba kili stars ushamba huo kaa kimya wewe.Mkude aliingia baaada ya kuumia Himidi Mao na ndio jamaa wakaaanza kuishambulia Kilimanjaro Stars
Mkude aliingia baaada ya kuumia Himidi Mao na ndio jamaa wakaaanza kuishambulia Kilimanjaro Stars
Ingefungwa, kafungwa Yanga. TFF wanajua Mkwasa yupo juu kuliko Kibadeni ndiyo kapewa Taifa Stars.
Kibadeni kapewa ndondo ahangaike nayo.
Kocha Kibaden Ana AKILI Sana na Sishangai Kuwa Hata Enzi Zake Alikuwa Ni Fundi Uwanjani. Kitendo Chake Tu Cha Kuwapanga Said Khamis Ndemla Na Jonas Gerald Mkude Ktk Midfield Kumesaidia Mno Kilimanjaro Stars Kucheza Leo Kandanda Safi Na Kupata Ushindi Na Akiendelea Kuwapanga Hao Wanangu Wawili Ktk Kiungo Namhakikishia Mzee Kibaden Kuwa Kilimanjaro Stars Itarudi Na Kombe Tanzania. Siku Zote Haruna Niyonzima Hawezi Shughuli Ya Mkude Ktk Kiungo. Mkwasa Alinitibua KUNAKOTUKUKA Kumweka Benchi Mkude Na Kumpanga Himid Mao Ktk Defensive Midfield Wakati Mwenye Hilo Jukumu Lake Na La Hiyo Namba Jonas Alikuwepo. Siku Zote Viungo Bora Nchini Tanzania Hutokea Simba Sports Club ( Ukilibishia Tu Hili Wewe POPOMA ).
Mkwassa ampishe King Kibaden Taifa Stars
Ingefungwa, kafungwa Yanga. TFF wanajua Mkwasa yupo juu kuliko Kibadeni ndiyo kapewa Taifa Stars.
Kibadeni kapewa ndondo ahangaike nayo.
Mkude aliingia baaada ya kuumia Himidi Mao na ndio jamaa wakaaanza kuishambulia Kilimanjaro Stars
Hajui mpira huyo analeta usimba kili stars ushamba huo kaa kimya wewe.
Na Nadir Haroub Canavaro Na Kelvin Yondan Ktk Zile 7 - 0 Za Algeria Walikuwa Wapi?
kapewa ndondo lakini kazi anayofanya inaonekana. uzuri wa kocha ni pamoja na kusoma mchezo na kufanya substitutions zinazolipa (... siyo comedy aliyofanya mkwasa kwenye ile mechi)
Usimba na Uyanga @work, tuacheni ushabiki wa jinsi hii kwenye timu za taifa. #Hapakazitu.
Hawa wote wapo Simba mbona hawajawasaidia kushika nafasi za juu acha ujuha na ubaguzi mi nadhan ilibidi ufurahie matokeo tu Himid Mao ni kiungo bora kwa sasa nchini na Mkude anamfwatia hilo halina ubishi na Himidi hachezi Yanga we wa wapi sisi katika mambo ya kitaifa hatutaki majuha ya kutugawa kiitikadi Viva Kili Stars Viva King .Hakuna Asiyejua Kuwa Midfield Competent Kabisa Kwa Sasa Nchini Tanzania Na Kwa Anayejua Mpira Vizuri Ni Jonas Gerald Mkude a.k.a Xavi Hernandez Na Said Khamis Ndemla a.k.a Andreas Iniesta Na Atakayebishia Hili Ni POPOMA. Ukiwa Na Midfield Ya Aina Hii Hupatwi Na Presha Jukwaani au Kila Wakati Kubana " P " Kuzuia Tusishambuliwe Na Wapinzani.