CECAFA:Tanzania bara vs Kenya

Turnkey

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2013
Posts
7,359
Reaction score
5,837
1.Aishi Manula

2.Mwaita Gereza

3.Mohamed Hussein

4.Bakari Nondo Mwamnyeto

5.Kelvin Yondani

6.Jonas Mkude

7.Cleoface Mkandala

8.Mzamiru Yassin

9.Paul Nonga

10.Lukas Kikoti

11.Miraji Athuman

SUB
David Kisu ,Metacha Mnata

Juma Abdul

Nickson Kababage

Gadiel Machiel

Baraka Majogoro

Hassan Dilunga

Eliuter Mpepo

Ditram Nchimbi
Mapumziko Kenya 1 vs Tanzania bara 0
 
Tumefungwa....kwa maoni yangu tumeshdwa kucheza vizuri kwenye kiungo wa chini na juu pia...mkude..mzamiru..dilunga wote walishikwa...Mgunda inabidi ajipange upya.
 
timu inafungwa mpaka inasahaulika, wachezaji viwango hakuna kabisa enzi hizi . Pamoja na makampeni mengi bado kufungwa .
Hizi pesa za wafadhili na mashirika ziondolewe kwenye mpira wawekeze kwenye ndondi na riadha ila huko wafanye mabadiliko watoe viongozi wote wasiofaa maana hawana mkakati wa kuibua vipaji vipya .
Riadha na ndondi kuna matumaini ya kufika mbali.
Yule jamaa aliyeshika namba 3 jumuiya ya madola Angepata kocha mzuri na udhamini angepata medali olimpiki .
Ufadhili mkubwa ufanyike kwenye timu za jeshi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…