Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Unamaanisha yale yaliyopitia Wingi ya kulia kwa Stumai?Magoli matamu sana sana ila baadhi kama yako offside vile....
Magoli matamu sana sana ila baadhi kama yako offside vile.
Hivi hatuwez kuigeuza hii timu iwe YANGA... wananchi wenzangu tufanye jambo hapa😂😂😂😂
Mbona hizo pombe me napigiaga mswaki tu kutwa mara tatu Wala hazileti vibe, labda ungesema kile kitu cha kunyonga, sokota, washa 😂😂😂........Acha pombe kienyeji.
Unazungumzia Ethiopia hii hii tuliyoipiga 4-1 mwaka jana tukatwaa ndoo ya CECAFA au kuna nyingine?Pamoja na kushinda timu bado inamapungufu mengi sn. Wakikutana na Ethiopia wanaweza kupigwa