CECAFA yakwepa yaliyoikuta sportpesa super cup

CECAFA yakwepa yaliyoikuta sportpesa super cup

MATHIAS KABYEMERA

JF-Expert Member
Joined
Mar 7, 2013
Posts
1,793
Reaction score
572
Mara nyingi mechi za watani huwa zinapata attention kubwa. Kwa jinsi Sportpesa super cup ilivyopanga ratiba yake katika michuano inayoendelea Kenya ilionekana wazi walipanga nusu fainali iwe Simba na Yanga na Ghor Mahia na AFC Leopards.

Lakini mambo hayakuwa hivyo ikaishia Simba kukutana na Kakamega Homeboys huku Singida United ikikutana na Ghol Mahia. Nadhani ni hali hii iliyoifanya CECAFA kuzipanga timu hizi za Simba na Yanga kundi moja kwani huenda wasikutane katika hatua za mtoano.

Nashindwa kupata jibu kwa nchi zetu za Africa Mashariki. Lengo la michuano kama hii ni lipi hasa; kukuza na kuinua kiwango cha mpira au kukusanya mapato? Bila kuua Usimba na Uyanga au vinginevyo hatutapiga hatua.
 
Gongowazi ndio wafe, sisi Simba hatuhusiki kabsa na hilo
 
Kwani simba na yangabzina ushabiki mkubwa huko Kenya?
Sidhani kama hoja yako ina mashiko
 
Back
Top Bottom