johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Hahahaaa....... Una akili sana bwashee!Akishindwa kuuangusha akaanguka yeye itakuwaje? au ndo atashuka kwenye treni kabla treni haijafika mwisho wa safari?
Kwa upeo finyu wako, uchaguzi huwa wa rational 50/50 labda?Hii ni mbinu ya kufanya ionekane kulikuwa na uchaguzi lakini ukweli ni kwamba mshindi anajulikana, kitakachofanyika ni kumpigia kura kidogo ionekana kulikuwa na uchaguzi kwenye ushindani ili tuambiwe kwenye chama chetu kuna demokrasia na hata huyo Mwambe analifahamu hilo ila anajibalaguza tu!
Hivi katika hali ya kawaida na kelele zote za watu kwamba Mbowe ni jabali wa kutuvusha Leo hii akapigiwe kura huyo mwanamama?
Acheni utani na akili za watu, nyie nendeni mkatimize mpango lakini tunajua ni uchaguzi hewa!
Sent using Jamii Forums mobile app
HUYO HATA AKIGOMBEA UWENYEKITI WA FAMILIA YAKE HAPATIKwa upeo finyu wako, uchaguzi huwa wa rational 50/50 labda?
Je wewe hapo ulipo na marehemu Nyerere mgombee ukipata kura yako pekeyako inakuwa sio uchaguzi?
Kitu ulichojionyesha mosi, una shule kidogo ila ni mwanaCCM kindakindaki maana huko huwa akili zipo likizo
Wewe mmuaji una kumbukumbu nzuri! Nilishasahau kama mlimuua Regia Mtema kwa ajali mkidhani ni gari la Zitto.Akiuangusha mbuyu havuki daraja la ubungo maana walipotezwa ni wengi kuliko waliobombea
R.I.p
.chacha wangwe
Regis mtema
USSR
Sent using Jamii Forums mobile app