Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
Anaongea bila kuelewa changamoto ya vifaa tiba, sijui degree ndiyo inatibu au vifaa tiba vya kisasaHajui hata organogram ya wizara ya afya ikoje huyu.
Hajui hata levels of health facilities huyu!...
Yaani akili ni ward attendant kwenda kuhudumia wajawazito na wanaojifungua?Si kuongeza vifo huko.Chadema wamezidiwa hoja na hiki chama.
Chama kama DECICHADEMA wamezidiwa hoja na hiki chama.