Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Katika mchezo wa kwanza uliopigwa ndani ya Uwanja wa Majaliwa Timu ya Namungo inayonolewa na Kocha Mkuu Cedric Kaze aliyekuwa Kocha Msaidizi wa Yanga imeanza mbio zake za ligi kwa kipigo cha goli moja kutoka kwa wapiga kwata JKT Tanzania.
#solomatv_updates
#solomatv_updates