Soloma TV Online
Senior Member
- Jun 26, 2023
- 104
- 291
Yanga ina academy ya makocha wewe mbumbumbu?Makocha kutoka utopolo ni weupe sana pale utopolo huwa wanasaidiwa na ndumba
Narudia tena kocha yeyote kutoka utopolo hua ni hovyo yani kifupi ni weupe
Rage aliona mbaliNarudia tena kocha yeyote kutoka utopolo hua ni hovyo yani kifupi ni weupe
Manara aliona mbali
Kwani kuna kocha ambaye afungwi?.Kufungwa kwa timu kunasababishwa na mambo mengi ndani ya uwanja hadi nje ya uwanja.Kaze ni kocha mzuri mengine ni mambo tu ya mchezo.Ndio wajue yule kocha hana mbinu, ni moja kati ya makocha wabovu nchini.
Tuna ujuaji mwingi sana.Jamiiforum kama bahari, ina mazao bora na pia kuna taka nyingi ila ndio ikolojia yenyewe ya bahari.
Kaze kufungwa mechi inaonekana si kocha, wanasahau Mgunda alishawahi kushuka daraja na coast !!
Tukumbuke mpira una matokeao matatu.
Makocha wa MBUMBUMBU ambao ni wazuri ni kina nani?Makocha kutoka utopolo ni weupe sana pale utopolo huwa wanasaidiwa na ndumba