Mkalukungone mwamba
JF-Expert Member
- Aug 29, 2022
- 862
- 1,755
Hatimaye plan ya Nabi kumleta Kaze ndani ya Kaizer Chiefs imetimia. Unaweza kusema colabo yao ndani ya Yanga katika misimu miwili yenye mafanikio imeifanya Kaizer nao kuwapa nafasi ya kufanya kazi pamoja.
Ngoja tuone utavuna nini ndani ya msimu huu!
===============
Aliyekuwa kocha wa Yanga Sc, Cedric Kaze raia wa Burundi ameteuliwa kuwa kocha msaidizi wa klabu ya Kaizer Chiefs ya Afrika Kusini akitarajiwa kufanya kazi chini ya Mtunisia, Nasreddine Nabi ambaye pia alifanya naye kazi Young Africans Sc.
“Ongezejo hili la kimkakati kwenye timu yetu ya ufundi chini ya kocha Nasreddine Nabi linalenga kuimarisha utendaji wa Klabu na matarajio ya msimu huu.” ——imesema taarifa ya klabu hiyo.
=======
Chiefs Strengthen Technical Team with Cedric Kaze as Assistant Coach
Kaizer Chiefs have appointed Cedric Kaze as the new assistant coach. This strategic addition to coach Nasreddine Nabi’s technical team aims to bolster the Club’s performance and aspirations for the season.