Yaani hawa jamaa mbali na kulamba kodi ya TRA. Kila mteja ambae alikuwa ananunu LUKU kupitia mtandao wao walikuwa wanakula 1000 hivi. Na hii ni zaidi ya miaka 5. Celcom wapo almost benk zote zinazofanya SIM bank na mobile bank including NMB.
Sasa hawa Wahindi wametuibia ma billionangapi kwenye hizi MPESA ATM transactions? Hapa ishu sio unit za LUKU. Kuna zaidi ya hilo, hawa Celcom kama ni mimi ningewapa 24 hrs wafungashe wapotee Danganyika.
Maana wana uraia wa nchi tatu wewee Mungu tujalie 2016 tupate Raisi aliye na uchungu na wazao wake kama Mkwawa,Maana Malundi,Shaka.