Kabla ya tuzo kutangazwa au kutolewa wafanye kazi nzuri waache kuomba kura wkt wakijua hawajafanya chochote.Kwahiyo muda wa kuomba kura unawafanya waache kufanya kazi nzuri?
Sidhani huo muda ni mkubwa kiasi hiko japokuwa nakubaliana na ww kwamba kazi ndizo zitaongea. Ila kumbuka kwamba kuna wasanii wanapata tuzo si kwasbb ya kazi zao bali ushawawishi wao.
Tuzo ikishatangazwa ni jukumu lake kuhabarisha wafuasi wake kwasbb si kila mtu atakuwa ana ufahamu.Kabla ya tuzo kutangazwa au kutolewa wafanye kazi nzuri waache kuomba kura wkt wakijua hawajafanya chochote.
Wabongo hata akiwekwa na DRAKE atataka ashinde hata kama hajatoa nyimbo
Tuzo kama MTVMAMA2016 watz walihamasisha kupiga kula na watu wakapiga kweli mwisho wa siku hkn tuzo, unajua kwann?Tuzo ikishatangazwa ni jukumu lake kuhabarisha wafuasi wake kwasbb si kila mtu atakuwa ana ufahamu.
Ila kusema kwamba kuomba wapigiwe kura inawafanya wasifanye kazi, hapana.
Ila rai pia ingetolewa kwa wapiga kura kwamba watazame kazi kwani wao ndio wangefanya wanaostahili wapate.
Kwa tuzo makini ni asilimia chache tu ya wapiga kura ndiyo uhesabika huku meza kuu ikichambua na kutoa asilimia nyingi.Tuzo kama MTVMAMA2016 watz walihamasisha kupiga kula na watu wakapiga kweli mwisho wa siku hkn tuzo, unajua kwann?
MTVMAMA2016 hawakuangalia kura peke yake waliangalia kazi za wasanii pia.
ombi langu: wapunguze kuomba kura kama walifanya kazi nzuri watashinda tu.