Celebrities wa kike Bongo wanakosa nini ambacho Zari anacho?

Kwa ndoa ipi
 
Celebrity ni pamoja na kuangalia anakula nn
Zari anapata tender sababu ana ji keep warm kwa kupokea kazi kama hizo
Hawa celebrity wa kitz wala hawajui nafasi zao kwenye jamii,wapo hovyo hovyo tu
Isha wahi waona wawili watatu wamelewa chakari pale The basement
Celebrity inabidi mm ndiyo nimuombe siyo yy aniombe
Celebrity gani anakunywa savana 17 na kitimoto kilo 2 pekee yake na kila siku?
Hawana lolote!
 
Wamezoea show off bila malengo kujiuza tuu Simu Kali mashuz mengi hiv ushamuona mtoto wa Reginald Mengi alivo simple,
 
Nilisikia wema kawekwa msukule na mtu mmoja Hivi nitawapa ubuyu baadae ndio maana hafanikiw
 


Thumbs UP
 
Wabongo hawathamini vyao. Kumbuka Odemba na wengine kibao wanakula shavu outside TZ
 
we nawe ,huyo zari mbona ana picha hadi za vichupi,au huwa huvioni.sema tu wewe ni diamond
 
Wanakosa pesa na wanaendekeza njaaa
 
celebrity gani wanazurula kila baa mpya wapo,club mpya wote wapo...na beef za instagram zisixokwisha...
 
wabongo wanawaza kumwagiwa maji na kutafuta status nzuri za birthday kule whatsapp ila huyu zari anawaza ni jinsi gani party yake itamuingiaje mapesa ya kumwaga..Ni role model
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…