Zari anawazidi lugha na exposure huyu mama kafika na kuishi nchi kadhaa ikiwemo UK,SA, Ug na sasa Tz nk,wadada wengi English kwao mtihani na exposure yao iko very limited
Kasomea mambo ya urembo na cosmetics, wadada wa Bongo movies wamesomea niniii??
ni mfanyabiashara mwenye shule/chuo pia wa nguo na jewellery hivyo ana nidhamu ya kazi,wadada bongo wanategemea madanga kwa kiasi kikubwa
Ni mzuri by nature,weupe sio wa mkorogo ule na anajiongezea kwa lifestyle classic anayoishi,wabongo mikorogo ndo yao na mazoezi vipiiii..
Ni mtoaji sanaa,huwa anasaidia sana yatima huko Uganda mara kwa mara anaenda na wale wanae wakiume..bongo wadada wanajitolea mara ngapi kijamii??
na anaonekana ana skills za kumtuliza mwanaume ..Dai kahangaika sana mjini hp kabla ya Zari
Mengine nyotaa,pia zari anawazidi umri wengi wao