Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 301,577
- 754,412
Chunguza kwa makini celebrities wengi huwaoni humu! Najua id zetu ni feki na si rahisi kumtambua mtu lakini kwa jinsi walivyo na mashauzi tungewajua tuu, manake wako hivi; wazuri wao, mahandsome wao, wenye akili sana wao, wenye pesa wao, wenye kujulikana sana wao! Na kama wamo humu tutajua tuu