Wengi vilaza, hawapendi kushughulisha vichwa vyao, alafu wanasikiaga jf ni kwa wasomi so wanaona hawana vigezo, alafu hamna kuuza rura,teemz,ushaabik wa kipuuz.Actually wanaogopa
mbona hod yupo humu,
Wakiwa hapa wataonyesha vp nguo zao mpya na raba
Chunguza kwa makini celebrities wengi huwaoni humu! Najua id zetu ni feki na si rahisi kumtambua mtu lakini kwa jinsi walivyo na mashauzi tungewajua tuu, manake wako hivi; wazuri wao, mahandsome wao, wenye akili sana wao, wenye pesa wao, wenye kujulikana sana wao! Na kama wamo humu tutajua tuu