celebritiez wa JF

celebritiez wa JF

kijembeee

JF-Expert Member
Joined
Jun 6, 2012
Posts
409
Reaction score
105
tuupdate habari za macelebrities wa JF kupitia uzi huu.....
Tukianza na Kijembeee kijana anaekuja kwa kasi anawakaribisha muendelee kubofya na kujuzana,respect kwa Mbuzimzee,waheed,charminglady,preta,dotworld,mzizimkavu
welcome for skendo,tetesi,dis........
 
eh kumbe JF hapa nako kuna celebrities enhe ni akina nani hao na mi niwajue nianze kuwaomba autograph :happy:
 
Hiyo avatar ya tbag nahisi kuna mtu anitumia humu. Nangojea udaku wa celebrities kwa hamu zote.
 
Back
Top Bottom