Celebrity aliye mzuri kupita wote hapa Bongo ni huyu

Hii story sijui nilionaga wapi aisee. Nasikia wakala collabo kwa tajiri wa Nigeria akawalipa usd 10k each
 
Aisee kumbe kabinti ka watu hakana hata skendo.
 
Vera Sidika is an international prostitute, probably she gets more than that per trip.
Hutakiwa kufanya guessing mkuu. Next time come up with tangible evidence to support your lines.
 
Kuwa uyaone mkuu, wanaume wengi wa siku hizi wameweka ngono mbele.
Kuna mambo mengine huhitaji kwenda Havard kunua kwamba hayapo.

By the way kama kungekuwa na malaya wanalipwa to that extent per show basi wanawake wengi sana wangepambana wawe malaya.
 
Unaijua usd 15000 mkuu?Hamna demu expensive hivyo the whole of East Africa.

15000usd ni nyingi mno.


Neyonzima yupo sahihi, siwezi mzungumzia Sanchoka siamini kama tayari amekua na kiwango cha juu ila mimi ni mshuhuda wa tukio kama hilo kwa Vera Sidika.

Alilipwa 30000$ kwa siku 6 kwa maana 5000 per day. mbali ya flight ya Emarate Airline tena Business class pamoja na Hoteli. Na pia bonus ya 5000$ kwa ajili ya shopping. Na Hotel ililipiwa 8 days wakati jamaa alizitumia 6 days mbili za mwisho za bibi kwa ajili ya shoping.

Ni Muarabu mmoja anaishi Dubai anaasili ya Mombasa alifanya hii kitu. Mimi nikiwa mpambe wa Mpambe wake huyo Muarabu nilikua napiga mzigo kule Dubai miaka ile.
Alianza na dau la 15000$ per day baada ya mapatano wakifa pale.

Jamaa alimzibua Mtaro (a.k.a TIGO) kisawasawa yule Vera. Kudadadeki Vumbi la kongo liliagiziwa bongo kwa ajili ya pambano.
 
Mkuu lkn hyo ni zaid ya mil 65 kwa siku sita tu?,c wangekuwa matajir maana akipiga zake show tatu kama hzo tu ana mpunga mrefu
 
Kuna mambo mengine huhitaji kwenda Havard kunua kwamba hayapo.

By the way kama kungekuwa na malaya wanalipwa to that extent per show basi wanawake wengi sana wangepambana wawe malaya.
Tatizo lenu ni ubishi, kitu kama wewe haujawahi kukisikia au haujawahi kukiona haimaanishi kwamba hakipo.

Mimi binafsi ninawajua baadhi ya wanawake wanaofanya ukahaba wa kimataifa na wala siyo maarufu ila wanahongwa zaidi ya hizo lakini sihitaji kumthibitishia mtu kwa sababu hata kwangu hayana umuhimu ila nilikuwa namjibu tu huyo aliyekuwa anabisha kwamba eti hawapo, kuna wengine hizo hela kwao ni hela za vocha tu.
 
You made your bed. There came a time to lie on it.
Inaonekana mnaumia wanaume wenzenu kutoa hizo hela siyo?? Ndiyo hivyo kuna wanaume wenzenu wasiojielewa wameamua kuwasaliti na kuhonga such amount of money just for pussies!!
 
Mkuu lkn hyo ni zaid ya mil 65 kwa siku sita tu?,c wangekuwa matajir maana akipiga zake show tatu kama hzo tu ana mpunga mrefu

Mkuu usifikirie kama hizo ishu kama hizo wanazipata kiwepesi, Anaweza mwaka mzima akazidanga akazipata 2 au 3. Tena Huyo ndo Vera Sidika connection kibao. Na halafu mkuu huwafahamu hawa wanavokua life style yao? Nguo ya million 3 tena akishaivaa mara 3 haitaki tena, wapambe, kuandaa party kila siku, Kukodi mijengo a bei mbaya, Ma holiday ma Dubai, South, wanazisha zote hizo na mwezi wa tatu tu unaweza mgonga kwa milion 2 vyuma vikishamkaza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…